Pascal Yohana Haonga
Pascal Yohana Haonga (amezaliwa 8 Agosti 1981) ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa Chama cha kisiasa cha Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amechaguliwa kuwa mbunge wa Mbozi kwa miaka 2015 – 2020. [1]
Haonga ni kabila la kinyia ambalo hutokea Mbozi mkoa wa songwe.
Marejeo
hariri- ↑ Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |