Paternus

Paternus (au Padarn wa Wales) (alifariki 550 hivi)[1] alikuwa abati askofu wa Ukristo wa Kiselti aliyeanzisha[2] Kanisa katika ufalme wa Ceredigion, Wales (leo katika Ufalme wa Muungano).

Mt. Padarn.

Alianzisha pia monasteri huko Vannes (Bretagne, Ufaransa) akawa askofu wa Braga, Ureno, na Avranches, Normandy.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waanglikana kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 15 Aprili[3][4].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. "St. Padarn of Wales", Parish of Oystermouth, Swansea. Jalada kutoka ya awali juu ya 2017-10-03. Iliwekwa mnamo 2017-03-19.
  2. Llanbadarn, "Padarn's church".
  3. Martyrologium Romanum
  4. Catholic Online

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.