Patrizia Barucha (alizaliwa 7 Aprili 1983) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Ujerumani ambae alicheza kama mshambuliaji katika klabu ya wanawake ya FFC Frankfurt.

Patrizia alishinda Kombe la Wanawake la UEFA 2005-06 na klabu yake ya FFC Frankfurt . Alikuwa pia mchezaji kwenye kikosi cha Michuano ya Wanawake chini ya miaka 19 cha UEFA mnamo mwaka 2002.[1]


Marejeo hariri

  1. , WorldFootball.net
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Patrizia Barucha kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.