Paul Éluard (14 Desemba 189518 Novemba 1952) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Ufaransa. Jina lake la kuzaliwa lilikuwa Eugène Grindel. Aliandika hasa mashairi, na katika maandishi yake ya kisiasa alimsifu Stalin.

Paul Éluard (1945)
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Paul Éluard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.