Paul Connell
Paul Connell (alizaliwa Mullingar, Kaunti ya Westmeath, 27 Januari 1958) ni askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Ireland ambaye aliteuliwa kuwa Askofu wa Ardagh na Clonmacnoise tarehe 5 Aprili 2023.
Maisha ya awali na elimu
haririConnell alizaliwa ni mtoto wa pili kati ya wanne wa Thomas na Philomena Connell (née Begley).[1] Alisoma shule ya msingi katika Scoil Mhuire CBS na shule ya upili katika Chuo cha St Finian, ambako alimaliza mtihani wa Leaving Certificate mwaka 1975.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Death Notice of Phyl CONNELL (née Begley) (Mullingar, Westmeath) | rip.ie". rip.ie (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-06-20.
- ↑ "Pope Francis appoints Father Paul Connell as Bishop of Ardagh and Clonmacnois". Irish Catholic Bishops' Conference. 5 Aprili 2023. Iliwekwa mnamo 7 Aprili 2023.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |