Pauline Smith

Mwandishi wa riwaya wa Afrika Kusini


Pauline Janet Smith (2 Aprili 1882 - 29 Januari 1959) alikuwa mwandishi wa riwaya kutoka Afrika Kusini, mwandishi wa hadithi fupi, mwanaharakati na mwandishi wa tamthilia.[1]

Pauline Janet Smith
Alizaliwa mwaka 1882, Oudtshoorn
Alikufa mwaka 1959, England
Nchi Afrika ya Kusini
Kazi yake Mwandishi,mwanaharakati

Marejeo hariri

  1. Barbara Fister (1995). "Smith, Pauline". Third World Women's Literatures: A Dictionary and Guide to Materials in English. Greenwood Publishing Group. uk. 286. ISBN 978-0-313-28988-0. 
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pauline Smith kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.