29 Januari
tarehe
Des - Januari - Feb | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 29 Januari ni siku ya ishirini na tisa ya mwaka. Mpaka uishe zinabaki siku 336 (337 katika miaka mirefu).
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1782 - Daniel Auber, mtunzi wa muziki Mfaransa
- 1843 - William McKinley, Rais wa Marekani (1897-1901)
- 1860 - Anton Chekhov, mwandishi Mrusi
- 1866 - Romain Rolland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1915
- 1874 - Owen Davis, mwandishi kutoka Marekani
- 1926 - Abdus Salam, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 1947 - Linda Buck, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2004
- 1970 - Paul Ryan, mwanasiasa kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1119 - Papa Gelasio II
- 1427 au 1430 - Mtakatifu Andrei Rublev, mchoraji kutoka Urusi
- 1933 - Sara Teasdale, mshairi kutoka Marekani
- 1934 - Fritz Haber, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1918
- 1963 - Robert Frost, mshairi kutoka Marekani
- 1984 - Frances Goodrich, mwandishi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Sharbel na Bebaya, Papia na Mauro, Kostanso wa Perugia, Juventino na Masimino, Valeri wa Trier, Afraate, Gilda, Sulpisi Severi n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-09 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 29 Januari kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |