Paulo Nogueira Neto
Paulo Nogueira Neto (18 Aprili 1922 - 25 Februari 2019) alikuwa mwanamazingira wa Brazili.
Aliongoza wakala wa kwanza wa shirikisho wa mazingira nchini Brazili, mtangulizi wa Wizara ya Mazingira ya leo, na alikuwa mjumbe wa Tume ya Umoja wa Mataifa ya Brundtland ya Mazingira na Maendeleo. Alikuwa na ushawishi mkubwa katika sheria ya mazingira ya Brazil.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Paulo Nogueira Neto kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |