Peggy Nietgen
Peggy Nietgen (amezaliwa 12 Agosti 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa nchini Ujerumani. Kwa sasa anacheza katika klabu ya wanawake ya FC Köln ya nchini Ujerumani.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ "Die Tröbitzerin Peggy Kuznik ist eine Kämpfernatur", Lausitzer Rundschau, 12 December 2015. Retrieved on 2022-05-14. (de) Archived from the original on 2022-05-14.
- ↑ "Nach der Auflösung ihres Vertrags in Wolfsburg trifft Peggy Kuznik nun im Pokal auf den Triplesieger", Frankfurter Rundschau, 14 November 2013. (de) [dead link]
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Peggy Nietgen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |