Pembe (anatomia)
Pembe ni miundo myenye mifupa inayoonekana juu ya vichwa vya wanyama kama kondoo, twiga au mbuzi. Pembe pia zinaonekana kama meno mikubwa ya ndovu au walarasi. Hata baadhi ya wadudu huwa na pembe, k.m. chonga.
-
Kondoo dume mwenye pembe za mzunguko ya mbavuni
-
Pembe-tawi za kulungu mwekundu
-
Pembe ya kifaru
-
Pembe-meno za ndovu
-
Pembe za nyati
-
Pembe za twiga
-
Pembe za walarasi
-
Chonga-mnazi
Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Pembe (anatomia) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |