Pesheni (kutoka Kiingereza passion fruit, kwa Kiswahili piaː karakara) ni tunda la mkarakara (au mpesheni), mmea unaotambaa ambalo ndani lina mbegu nyingi nyeusi na nyama ya nyuzinyuzi. Mara nyingi hutumiwa kutengenezea juisi. Pia pesheni ni chanzo cha carotene, vitamini C na chuma.

Mafungu tofauti tofauti ya mapesheni yakiwa sokoni

Aina za pesheni hariri

  • Pesheni au karakara jeusi (Passiflora edulis forma edulis)
  • Pesheni au karakara njano (P. edulis forma flavicarpa)
  • Pesheni au karakara tamu (P. ligularis)
  • Pesheni- au karakara-ndizi (P. tarminiana)
  • Pesehni au karakara kubwa (P. quadrangularis)

Picha hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Pesheni kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.