Peter Eastman (msanii)

Peter Eastman (alizaliwa 1976) [1] ni msanii wa nchini Afrika Kusini anayeishi katika mji wa Cape Town. [2] [3]

Elimu hariri

Eastman alizaliwa mwaka 1976 na kukulia Afrika Kusini. Alianza kazi yake kama mrejeshaji wa mambo ya kale huko London, Uingereza. Pia alisoma katika Shule ya sanaa ya katika Chuo Kikuu cha Cape Town cha Michaelis. [4]

Marejeo hariri

  1. "Peter Eastman - About". Peter Eastman. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-09-29. Iliwekwa mnamo 16 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. Edmunds, Paul (August 2008). "Peter Eastman". artthrob (132). Iliwekwa mnamo 16 June 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Peter Eastman, Black Portrait". Art Center Hugo Voeten. Hugo Voeten museum. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-05. Iliwekwa mnamo 3 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  4. "Peter Eastman, featured". between 10 and 5. between 10 and 5, Jessica Hunkin. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-06-03. Iliwekwa mnamo 3 June 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Peter Eastman (msanii) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.