Pico Duarte ni mlima mrefu zaidi katika Jamhuri ya Dominika na katika Antili kwa jumla.

Mlima Pico Duarte

Una kimo cha mita 3,175 juu ya UB.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pico Duarte kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.