Pico das Agulhas Negras

Pico das Agulhas Negras ni mlima wa tano kwa urefu nchini Brazil, wenye kimo cha mita 2,791 juu ya usawa wa bahari.

Mlima Pico das Agulhas Negras

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Pico das Agulhas Negras kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.