Pierre Mauroy

Pierre Mauroy (* Cartignies, 5 Julai 1928 – † Clamart, 7 Juni 2013) alikuwa mwanasiasa wa Ufaransa. Kati ya 1981 na 1984 alikuwa Waziri Mkuu wa Ufaransa.

Pierre Mauroy mwaka 1990.
WikiLettreMini.svg Makala hii kuhusu "Pierre Mauroy" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.