Poloo ni vitafunwa vya Ghana ambavyo vinavyoandaliwa kwa unga wa nazi wa kukaanga au biskuti ya kukaanga.

Picha ya vitafunwa aina ya Poloo
Picha ya vitafunwa aina ya Poloo

Viungo

hariri

Viungo vinavyotumika katika utayarishaji.

Unga.

Nazi.

Sukari.

Chumvi.

Mafuta ya mboga.

Maji.

Marejeo

hariri