Popcaan (amezaliwa na jina la Andrae Hugh Sutherland mnamo 19 Julai 1988 mjini Saint Thomas, nchini Jamaika) ni msanii wa Reggae pamoja na Dancehall.

Popcaan
Jina la kuzaliwa Andrae Hugh Sutherland
Amezaliwa Julai 19 1988 (1988-07-19) (umri 35)
Asili yake Saint Thomas , Jamaika
Aina ya muziki Mwanamuziki
Kazi yake Mwimbaji
Aina ya sauti "Vokali"
Miaka ya kazi 2007–mpaka sasa
Studio Mixpak
Tovuti www.officialpopcaan.com
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Popcaan kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.