Portland Trail Blazers

Portland Trail Blazers ni timu ya kulipwa ya mpira wa kikapu kutoka mjini Portland, Oregon. Wanachezea katika Chama cha Mpira wa Kikapu nchini Marekani. Vinara wao waliopo kwa sasa ni pamoja na Damien Lillard, C.J. McCullon.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Portland Trail Blazers kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.