Pozi ni mkao wa kuchorwa au kupigwa picha kwa kuwa katika staili mbalimbali. Staili hiyo inaweza kuwa ya kanisani, sokoni, dukani, huzuni, furaha n.k.

Mtoto wa Kiafrika akiwa katika pozi kwa ajili ya kupigwa picha
Vijana wakiwa katika mkao wa kula wakati wakipati kifungua kinywa
Mpiga picha akiwa katika pozi la kupiga picha
Makala hii kuhusu "Pozi" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema.