Prince Patrick Island

Prince Patrick Island ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kisiwa cha Prince Patrick,Kanada

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 15,848, ila hakina wakazi.

Tazama pia Edit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Prince Patrick Island kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.