Prince of Wales Island (Nunavut)

Prince of Wales Island (Nunavut) ni kisiwa kikubwa cha eneo la kaskazini mwa Nunavut (Kanada).

Kisiwa cha Prince of Wales(Nunavut),Kanada

Kinapatikana katika Bahari ya Aktiki kikiwa na ukubwa wa kilometa mraba 33,339, ila hakina wakazi.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Kanada bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Prince of Wales Island (Nunavut) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.