Programu ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukimwi

Programu ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukimwi (NACP) ni shirika la afya la kiserikali la Tanzania ambalo lilianzishwa mwaka 1986 na linalofanya kazi chini ya Wizara ya Afya ya nchi hiyo.[1][2]

NACP Ni bodi ya kutunga sera, juu ya suala la VVU na UKIMWI nchini Tanzania.

Programu ya Kitaifa ya Kudhibiti Ukimwi inatoa kwa umma habari kuhusu VVU, UKIMWI, na magonjwa mengine ya zinaa.[1] Hivi sasa, shirika linajitahidi kufikia lengo la 90-90-90 lililowekwa na UNAIDS,[3] bila kujali maadili ya dini na utamaduni wa Kiafrika.

Marejeo hariri

  1. 1.0 1.1 About – NACP-National AIDS Control Programme (en-US). Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
  2. National AIDS Control Programme (NACP) | EAC Knowledge Management (KM) Portal for Health. health.eac.int. Jalada kutoka ya awali juu ya 2021-08-08. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.
  3. 90-90-90: treatment for all (en). www.unaids.org. Iliwekwa mnamo 2021-08-08.

Viungo vya nje hariri