Puebla ni moja kati ya majimbo 31 ya Mexiko upande wa kati-mashariki ya nchi. Mji mkuu na mji mkubwa ni Puebla.

Petlapa River, Puebla
Bendera ya Puebla
Mahali pa Puebla katika Mexiko

Imepakana na Veracruz, Hidalgo, Mexico (jimbo), Tlaxcala, Guerrero, Morelos na Oaxaca.

Kunako mwaka wa 2005, idadi ya wakazi ilikuwa 5,383,133. Una eneo la 33,902 km².

Jina lake limetokana na jina la mji wa Puebla (jina rasmi: La Puebla de los Angeles; kiswahili: mji wa malaika).

Gavana wa jimbo ni Mario Marín Torres.

Lugha rasmi ni Kihispania.

Miji Mikubwa hariri

  1. Puebla (1,485,941)
  2. Tehuacán (238,229)
  3. Atlixco (86,173)
  4. Cholula (82,964)

Viungo vya Nje hariri

 
Mji wa Puebla
  Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Puebla (jimbo) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.