Pwani ya Carquejinha

Praia de Carquejinha ni ufuo wa pwani ya kusini ya kisiwa cha Boa Vista huko Cape Verde [1] Fuo za jirani ni Praia de Santa Mónica upande wa magharibi na Praia de Curral Velho upande wa mashariki. Pwani ni kama urefu wa kilometa 8.

Marejeo hariri

  1. "Ilha da Boa Vista, banhos de sol be mar" (kwa Kireno). Wordpress. 25 February 2011.  Check date values in: |date= (help)