Pwani ya Goncalo

makaazi ya maio,Cape Verde

Praia Gonçalo ni makazi kaskazini mashariki mwa kisiwa cha Maio huko Cape Verde . Mwaka 2010 idadi ya wakazi ilikuwa 67. Iko kilomita 2 kaskazini mwa Pedro Vaz na kilomita 18 kaskazini mashariki mwa mji mkuu wa kisiwa Porto Inglês .

Marejeo hariri