Qore (cheo)
cheo cha watawala wa Kushi
Qore ni cheo cha watawala katika Ufalme wa Kush, haswa wakati wa Kipindi cha Meroitic, katika ardhi ya Nubia (Sudani ya sasa).[1]
Angalia pia
haririMarejeo
hariri- ↑ Vittmann, Günter. "A Question of Names, Titles, and Iconography. Kushites in Priestly, Administrative and other Positions from Dynasties 25 to 26". Mitteilungen der Sudanarchäologischen Gesellschaft zu Berlin 18, 2007, 139-161.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Qore (cheo) kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |