Quasi Blay Jr.

Mwigizaji kutoka Nchini Ghana

Quasi Blay Jr. ni mwigizaji kutoka nchi ya Ghana.[1] Anajulikana sana kwa majukumu yake katika filamu ya "Adoma" na "Grilled". Ameonyeshwa katika sinema kumi na tano na safu nne za runinga.[2]

Quasi Blay Jr.

Maisha ya awali

hariri

Alizaliwa nchini Ghana akiwa mtoto wa tatu katika familia yenye ndugu watano, wanaume wanne na wa kike mmoja. Alimaliza elimu ya chini katika shule ya Great Lamptey Mills, Kisha akaendelea na masomo yake ya Sekondari katika Shule ya Aburi (SHS). Alichukua elimu yake ya juu katika Chuo Kikuu cha Ufundi cha Koforidua na kupata Stashahada ya Juu ya Kitaifa ya Ununuzi na Usambazaji wa bidhaa.[1][2]

Alianza kazi ya uigizaji mnamo mwaka 2016 kama mtoto, akionekana katika filamu ya "Grey Vust", "Grilled", na safu ya "Deju Vu".[3].Alipokea tuzo ya heshima kama mwigizaji bora wa Kiume katika tuzo ya Social Media Entertainment.[2].Baadaye aliteuliwa kama Mwigizaji Bora katika jukumu lake la kuongoza katika Toleo la 9 la Tuzo za Sinema za nchini Ghana katika filamu ya "Adoma".[1][4][5][6]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 1.2 "Get familiar with Ghanaian most wanted actor, Qwasi Blay". ghanaweb. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. 2.0 2.1 2.2 "QWASI BLAY JNR/ Ghana's Most Wanted Actor". gbafrica. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-26. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "Movies and Series starring Quasi Blay Jr". irokotv. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-10-27. Iliwekwa mnamo 23 Oktoba 2020. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. Guide, Daily (2019-12-23). "Surprises At 2019 Ghana Movie Awards". Modern Ghana (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-10-06.
  5. "Ghana Movie Awards » 2019 Nominations". ghanamovieawards.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2020-11-29. Iliwekwa mnamo 2020-10-06. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  6. "Nominees Released for 2019 Ghana Movie Awards - Full List". GhanaCelebrities.Com (kwa American English). 2019-12-09. Iliwekwa mnamo 2020-10-06.
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Quasi Blay Jr. kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.