Rabie Belgherri (alizaliwa 7, Oktoba, 1977, huko Maghnia) ni mchezaji wa kandanda wa Algeria. Rabie Kwa sasa anachezea Klabu ya WA Tlemcen katika Ligi ya Algeria Professionnelle 1.

Heshima

hariri
  • Alishinda Kombe la Algeria mara moja akiwa na klabu ya WA Tlemcen mnamo mwaka 2002
  • Mshindi wa Fainali ya Kombe la Algeria mara moja akiwa na klabu ya WA Tlemcen mnamo mwaka 2008

Marejeo

hariri

Viungo Vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rabie Belgherri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.