Rachael Aladi Ayegba

mchezaji wa mpira wa miguu

Rachael Aladi Ayegba (alizaliwa 25 Juni 1986) ni mchezaji wa mpira wa miguu wa zamani wa timu ya wanawake ya Nigeria ambaye alicheza kama golikipa.[1] Alicheza katika klabu nyingi za kati ya mwaka 2005 na 2016. Ayugba sasa ni dereva wa basi huko London.[2]

Rachael Aladi Ayegba
Amezaliwa 25 juni 1986
Nigeria
Nchi Nigeria
Kazi yake Mchezaji

Marejeo hariri

  1. aladi-ayegba, https://WorldFootball.net
  2. "Ayegba, Nigeria's breakthrough goalkeeper". Confederation of African Football. 21 July 2020. Iliwekwa mnamo 9 December 2021.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachael Aladi Ayegba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.