Rachid Belhout (14 Juni 1944 - 9 Agosti 2020) alikuwa meneja na mchezaji wa kandanda wa Algeria. Wakati wa kifo chake, alikuwa akisimamia klabu ya Al-Ahly Benghazi katika Ligi Kuu ya Libya.

Binafsi

hariri

Belhout alizaliwa mnamo Juni 14, 1944 huko Sétif. Akiwa na umri wa miaka 4, alihamia Ufaransa pamoja na familia yake.[1]

Usimamizi Katika Kazi

hariri

Belhout alipokea leseni yake ya ukocha kutoka Shirikisho la Soka la falme za Ubelgiji.[2] Alianza kazi yake kwa kufundisha timu kadhaa za vijana ligi za professional huko Ubelgiji na Luxemburg.

Belhout alifariki 9 Agosti 2020, akiwa na umri wa miaka 76, baada ya kuhusika katika mgongano wa trafiki huko Nancy, Ufaransa.[3]

Heshima

hariri

Meneja

  • Alishinda Kombe la Rais wa Tunisia mara moja akiwa na klabu ya Olympique Béja mnamo 2010
  • Alishinda Kombe la Algeria mara moja akiwa na klabu ya JS Kabylie mnamo 2011
  • Mshindi wa Fainali ya Kombe la Algeria mara moja akiwa na klabu ya USM Alger mnamo 2007

Marejeo

hariri
  1. Rachid Belhout, le communicateur Archived 2012-06-13 at the Wayback Machine
  2. "Rachid Belhout : L'USMH c'est du solide, la partie est loin d être gagnée". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-02. Iliwekwa mnamo 2023-06-13.
  3. "Coupe d'Algérie Finale USM Alger 0-1 MC Alger". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2023-06-13. {{cite web}}: horizontal tab character in |title= at position 34 (help)

Viungo Vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rachid Belhout kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.