Rafael Erich
Rafael Waldemar Erich (Turku, 10 Juni 1879 - Helsinki, 19 Februari 1946) alikuwa mwanasiasa wa Ufini kutoka chama cha muungano wa Kitaifa, profesa, mwanadiplomasia, na waziri mkuu wa Ufini.
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rafael Erich kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |