Open main menu

Helsinki, (Helsingfors Kiswidi) ni mji mkuu wa Ufini na pia mji mkubwa nchini. Idadi ya wakazi ni manmo 610 601(2013)na kuna jumla la milioni moja katika rundiko la mji.

Helsinki
Mji wa Helsinki
Mji wa Helsinki

Nembo
Majiranukta: 60°10′N 26°56′E / 60.167°N 26.933°E / 60.167; 26.933
Nchi
Kaunti Helsinki
Idadi ya wakazi (2013)
 - 610 601
Tovuti: www.hel.fi
Helsinki
Helsinki mjini

Helsinki iko kwenye mwambao wa Ghuba ya Ufini ya Baltiki.

HistoriaEdit

Manmo 1550 eneo la Helsiniki ilikuwa sehemu ya Uswidi na mfalme wa Uswidi Gustav Vasa aliamuru kujengwa kwa mji mpya. Lakini wakati wa utawala wa Uswidi mji ulioitwa kwa Kiswidi "Helsingfors" haukuendela sana.

Tangu 1809 Ufini ilikuwa chini ya utawala wa Urusi na Kaisari Alexander I wa Urusi aliamuru kuhamisha mji mkuu wa jimbo hili kwenda Helsinki na kujenga mji upya. Tangu wakati ule Helsinki imekua kushinda mji wa Turku uliowahi kuwa mji mkubwa katika Ufini hadi wakati ule.

Tangu mwaka 1917 Helsinki imekua mji mkuu wa nchi mpya ya Ufini.

JiografiaEdit

Helsinki imesambaa mwambaoni wa hori mbalimbali na visiwa vya Ghuba ya Ufini.

Viungo vya NjeEdit

Go to City of Helsinki web site - english version Go to City portal of Helsinki - english version

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ufini bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Helsinki kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.