Raffaele Calabria
Raffaele Calabria (11 Desemba 1906 – 24 Mei 1982) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki kutoka Italia.
Katika maisha yake ya kikuhani, alihudumu kama Askofu Mkuu wa Otranto na baadaye Askofu Mkuu wa Benevento.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Congar, Yves; Minns, Denis (2012). My Journal of the Council. Ilitafsiriwa na Ronayne, Mary John; Boulding, M. Cecily; Minns, Denis. Liturgical Press. uk. 395. ISBN 9780814680292.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |