Rajab Mwinyi (alizaliwa Januari 10, 1984, huko Bujumbura) ni mchezaji wa kiungo wa Burundi ambaye anachezeya timu ya Simba SC huko Dar es Salaam. Pia ni mwanachama wa timu ya taifa ya soka ya Burundi.

Viungo vyanje hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rajab Mwinyi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. Benjamin Strack-Zimmermann. "Rajab Mwinyi (Player)". www.national-football-teams.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-05-02.