Raju Pariyar
Raju Pariyar (alizaliwa 30 Juni 1980) ni mwimbaji kutoka Nepal. Alitunga nyimbo zaidi ya 13,000.[1]
Maisha ya awali
haririPariyar alizaliwa katika kijiji cha Gausahar ambacho kipo katika Wilaya ya Lamjung, na wazazi wake Mangal Singh Pariyar na Santa Maya Pariyar. Alizaliwa tarehe 30 Juni 1980 katika kalenda ya Gregori.
Mnamo Septemba 2015 Pariyar alikutana na Bishnu Pariyar kwenye ndege iliyokuwa ikisafiri kutoka Kathmandu kwenda Mumbai. Bishnu ni mchungaji Mkristo kutoka Bharatpur, alizungumza na Pariyar alipokuwa safarini na alipendezwa naye. Mwezi mmoja baadaye Pariyar na watoto wake wawili walisafiri hadi kwenye kanisa la Bishnu huko Bharatpur wakabadilishwa kuwa Wakristo.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Dorcas Cheng-Tozun (13 Oktoba 2015). "'Justin Bieber of Nepal' Converts to Christianity". Christianity Today. Iliwekwa mnamo 8 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Awale, Sonia (12–18 Mei 2017). "It's Party Time on the Internet". Nepali Times. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: date format (link) - ↑ Gurung, Aash (14 Desemba 2015). "Pariyar lights up Lamjung Mahotsav". The Kathmandu Post. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-11-10. Iliwekwa mnamo 9 Novemba 2017.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Raju Pariyar kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |