Ras Makonnen (jina kamili: Mäkonnen Wäldä-Mika'él Guddisa; 8 Mei 185221 Machi 1906), alikuwa baba wa Haile Selassie, kaisari wa Ethiopia wa mwisho.

Mwenyewe alikuwa jenerali na gavana ("ras").

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ras Makonnen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.