Rasheedat Ajibade
Rasheedat Busayo Ajibade (alizaliwa 8 Desemba 1999)[1] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Nigeria, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Atletico Madrid, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uhispania, na timu ya taifa Nigeria.[2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Norges Fotballforbund. "Rasheedat Busayo Ajibade - Profil". fotball.no - Norges Fotballforbund (kwa Kinorwe). Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
- ↑ "Nigeria - R. Ajibade - Profile with news, career statistics and history - Soccerway". int.soccerway.com. Iliwekwa mnamo 2024-09-21.
- ↑ https://olympics.com/en/paris-2024/athlete/rasheedat-ajibade_1971542
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rasheedat Ajibade kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |