Real Talk (albamu)
(Elekezwa kutoka Real Talk(albamu))
Real Talk ni albamu ya nyimbo za Kikristo ya kwanza ya Lecrae aliyounda akiwa pekee yake yaani akijitegemea.Hapo mwanzoni kulikuwa na toleo mbili tofauti ya albamu hii; moja ilyotolewa na Reach Records (2004) na toleo la Cross Movement (2005).Albamu hii ilikuwa nambari ya #29 katika chati ya Billboard za Kikristo.
Real Talk | |||||
---|---|---|---|---|---|
Albamu ya Lecrae Moore | |||||
Imerekodiwa | 2004 | ||||
Aina | Nyimbo za Kikristo | ||||
Lebo | Cross Movement Records | ||||
Wendo wa albamu za Lecrae Moore | |||||
|
Nyimbo zake
hariri- Souled Out
- We Don't (ameshirikisha R-Swift)
- Aliens (ameshirikisha. Tedashii)
- Crossover
- Represent (ameshirikisha. Tedashii)
- Real Talk (Interlude)
- Take Me As I Am
- Tha Church (ameshirikisha. Sho Baraka)
- Nothin
- The Line (ameshirikisha. Tedashii)
- Who U Wit
- Heaven or Hell
- Wait (Intro)
- Wait (ameshirikisha. Steven Carter)
Kuna nyimbo mbili zilizofichwa:
- You're Faithful (To Me)
- Represent (Chopped and Screwed)