Lecrae Moore (amezaliwa 9 Oktoba, 1979) ni msanii wa Kikristo[1] mwenye mkataba na Reach Records.[2]

Lecrae
Lecrae na Akon, mnamo 2013
Lecrae na Akon, mnamo 2013
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Lecrae Moore
Aina ya muziki Kikristo, Nyimbo za Kikristo
Kazi yake Mwanamuziki
Studio Reach Records
Tovuti http://www.reachrecords.com/

Lecrae anaishi mjini Atlanta, Georgia akiandaa matukio mbalimbali ya muziki, akijitolea kufanya kazi katika jela ya vijana, kujishirikisha katika shirika la Kids Across America Kamps huko Branson, Missouri na akijishughulisha na Reachlife Ministries.[3] Pia, yeye ni mwanachama wa 116 Clique, Lecrae anahubiri Injili katika vyuo vikuu mbalimbali na kumbi mbalimbali za jamii.

Lecrae amepokea uchaguzi wa kuwa mshindani kwa tuzo mbili katika tuzo za kila mwaka za GMA Dove. Alipata uchaguzi kwa wimbo wake Jesus Muzik,aliomshirikisha Trip Lee na kwa albamu yake After the Music Stops[4]. Yeye ,hivi majuzi,alikuwa amechaguliwa kama mshindani kwa tuzo ya Albamu ya Sanaa ya Rap ya Mwaka katika tuzo za arubaini za GMA Dove. Magazeti mbalimbali,likiwemo Rapzilla[5] yameaona na kusifu mtindo wake tofauti na albamu yake ya pili After the Music Stops iliitwa "mojwapo ya albamu bora sana ya 2006[6]". Nyimbo zake zinaonyesha werevu wake lakini zinahakikisha ujumbe umewasilishwa.

Katika muziki wake, Lecrae anatumia neno "Crunk" kwa kumaanisha hisia nzuri anayohisi Mkristo.[7] 8 Oktoba 2008, albamu ya tatu ya Lecrae, Rebel, iliingia chati ya Billboard ikwa # 60,huku ikiwa imenunuliwa na watu 9,800. Rebel ikawa # 3 katika iTunes na kushikilia nafasi ya kwanza katika chati ya Kikristo ya Billboard kwa wiki mbili,albamu ya rap ya kwanza kufanya hivyo. Lecrae ana video nne vya nyimbo zake:Jesus Muzik, Praying For You, Don't Waste Your Life, ambayo ilishinda Video ya Mwaka katika tuzo za GMC na hapo Oktoba 2009 alitoa video ya wimbo wake Go Hard.

Wasifu hariri

Miaka ya awali (2003 -2005) hariri

Alizaliwa Houston, Texas na akalelewa na mama pekee bila baba, alikuwa Mkristo akiwa na umri wa miaka 19. Lecrae alianza kuimba juu ya imani yake na kuwa mwanzilishi wa Reach Records akiwa na umri wa miaka 25. Mwaka 2005, alitoa albamu yake ya Real Talk[8] The album gained critical acclaim and charted at #29 on the Billboard Gospel albums chart.[9] kwa kurekodia huko Reach Records.[10] Albamu hiyo ilipata sifa ikawa #29 kwenye chati ya Billboard ya albamu za Kikristo.[11]

After The Music Stops (albamu) (2006-2007) hariri

Baada ya ufanisi wa Real Talk,Lecrae alitoa albamu yake ya pili ya studio mnamo 15 Agosti ,2006,albamu hiyo ilikuwa #5 katika chati ya Billboard ya albamu za Kikristo na #16 katika chati ya Billboard Heatseeker.[12] Albamu hii ilichaguliwa kuwa mshindani katika tuzo ya Dove na vilevile wimbo wake Jesus Musik ulichaguliwa.

Rebel (albamu) (2008-2009) hariri

Tarehe 8 Oktoba 2008, albamu ya tatu,Rebel, iliingia chati ya Billboard katika nafsi ya 60 ikiwa imenunuliwa na watu 9,800.Albamu hiyo ilipata sifa nyingi kabisa kwa muziki ya aina hiyo.Jesusfreakhideout ilisema,"Katika ulimwengu wa muziki,albamu hii ni nzuri sana kuliko muziki ya aina hiyo yenye utasikia katika stesheni za redio.Katika utunzi wa nyimbo, Lecrae ana ujumbe mzuri kwako na mtu yeyote." Albamu hii,hivi sasa(Januari 2010),imekuwa katika chati ya BillBoard ya albamu za Kikristo kwa wiki 66.[13]

Diskografia hariri

Albamu hariri

Nyimbo zisizokuwa kwenye albamu hariri

  • "Hands High" (2008)
  • "Catch That Wave"(2008)
  • "Dream" (2009)

Video zake hariri

  • Praying For you (2006)
  • Jesus Muzik (2006)
  • "Don't Waste Your Life" (2008)
  • "Go Hard" (2009)

Akiwa na 116 Clique hariri

  • The Compilation Album (2005)
  • The Compilation Album: Chopped & Screwed (2006)
  • 13 Letters (2007)
  • Amped (2007)

Nyimbo alizoshirikishwa hariri

  • "No Silence" ya FLAME
  • "Stand" ya Da' T.R.U.T.H. akimshirikisha FLAME
  • "No More" ya Tedashii
  • "In Ya Hood Cypha" ya Tedashii akiwashirikisha Trip Lee, Thi'sl, Json & Sho Baraka
  • "Cash or Christ" ya Trip Lee
  • "116 Intro (Remix)" ya Trip Lee akimshirikisha Tedashii
  • "Give Him Glory" ya Trip Lee
  • "National Anthem (Remix)" ya Mark J akimshirikisha Shabach, 2nd Nature, Promise, R-Swift, J Johnson, Truth, Japhia Life & Triumph
  • "Everyday All Day Cypha" ya Everyday Process akiwashirikisha The Ambassador, FLAME, Phanatik & R-Swift
  • "Conviction" ya Dillon Chase
  • "Jesus is Alive" ya Shai linne
  • "Catch Me at the Brook" ya Sho Baraka
  • "When the Thrill is Gone" ya J.R.
  • "Disciple Me (Remix)" ya Cam
  • "Joyful Noise" ya FLAME akimshirikisha John Reilly[14]
  • "Breatha" ya R-Swift akimshirikisha Mac the Doulos
  • "Who He Is" ya Trip Lee akimshirikisha Cam
  • "Who Is He" ya Json
  • "Punchlines" ya Dry Bonez Live
  • "Checkin' For My God" ya The Ambassador akimshirikisha Trip Lee
  • "Send Me" Remix ya Red Letter wa Mars Hill Church
  • "26's" ya Tedashii
  • "I Got Proof" ya Katalyst
  • "Transformers" ya Tedashii akimshirikisha Trip Lee
  • "Exposed" ya Benjah akimshirikisha Soyé
  • Chase Glory akimshirikisha Lecrae " I Was Made To Praise Him "
  • "Show off" ya DJ Official akimshirikisha FLAME
  • "On My 116" (Tedashii, Sho Baraka, Trip Lee)

Tuzo hariri

  • Alishinda tuzo ya Video Bora ya Hip Hop katika tuzo za GMC [15]
  • Kuchaguliwa kama mshindani wa tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka 2009 katika tuzo za GMA Dove [16]
  • Kuchaguliwa kama mshindani wa tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka 2007 katika tuzo za GMA Dove [17]
  • Kuchaguliwa kama mshindani wa tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka 2007 [17]
  • Won Best Male Artist for 2006 by Rapzilla [18]
  • Alishinda tuzo ya Albamu Bora ya Mwaka 2006 ya Rapzilla [18]
  • Alishinda tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka 2006 ya Rapzilla [18]
  • Alishinda tuzo ya Video Bora ya Mwaka 2006 ya Rapzilla [18]

Angalia Pia hariri

Marejeo hariri

  1. Reach Records Artist Profile - Lecrae
  2. Christian Post - Christian Rap Artists: Don't Waste Your Life. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-07-11. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  3. [www.myspace.com/lecrae]
  4. Gospel Music - The 38th Annual GMA Dove Awards – Nominee List - Entertain Your Belief. Jalada kutoka ya awali juu ya 2008-08-20. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  5. GMA Dove Awards Nominations 2009 Are In!. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  6. Review - Lecrae - After the Music Stops. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-02. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  7. Now Thats What I Am Talkin About!!! After the Music Stops by Lecrae. Jalada kutoka ya awali juu ya 2007-09-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  8. http://www.newreleasetuesday.com/artistdetail.php?artist_id=354
  9. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-09-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  10. http://www.newreleasetuesday.com/artistdetail.php?artist_id=354
  11. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-09-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  12. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-09-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  13. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-09-06. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  14. The Reilly Band
  15. Nakala iliyohifadhiwa. Jalada kutoka ya awali juu ya 2010-09-17. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  16. GMA 40th Dove Award Nominees. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  17. 17.0 17.1 GMA 38th Dove Award Nominees. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-02. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.
  18. 18.0 18.1 18.2 18.3 Rapzilla's Best of 2006. Jalada kutoka ya awali juu ya 2009-02-02. Iliwekwa mnamo 2010-01-12.

External links hariri