Reach Records ni studio ya Marekani ya kurekodi nyimbo za Kikristo na inajumuisha wasanii watano: Lecrae, Trip Lee, Tedashii , DJ Official na Sho Baraka. Wasanii hawa wanaoimba kwa mtindo wa muziki wa 'rap' walizuru Marekani kote na msanii mwenzao wa Kikristo ,FLAME. Ziara yao ilikuwa na jina la "Don't Waste Your Life" hasa ikimaanisha usitumie maisha yako vibaya. Reach Records ilihamia Atlanta, Georgia katika mwaka wa 2009 katika ushirikiano na kanisa la Blue Print Church.

Reach Records
Mwanzilishi *. Ben Washer
*. Lecrae Moore
Aina za muziki Nyimbo za Kikristo za aina ya hip hop
Nchi MarekaniMarekani
Mahala Atlanta, Georgia
Tovuti www.reachrecords.com

Wanachama wa Reach Records

hariri

Diskografia ya Reach Records

hariri
  • Real Talk(albamu) 2005 (Lecrae)
  • Albamu ya Mkusanyiko 2005 (116 Clique)
  • Kingdom People 2006 (Tedashii)
  • If They Only Knew (Trip Lee)
  • After the Music Stops(albamu) 2006 (Lecrae)
  • 13 Letters 2007 (116 Clique) [4]
  • Amped 2007 (116 Clique) [5]
  • Turn My Life Up 2007 (Sho Baraka)
  • 20/20 2008 (Trip Lee) [7]
  • Rebel(albamu) 2008 (Lecrae)
  • Identity Crisis 2009 (Tedashii)
  • Entermission 2009 (DJ Official)
  • Lions and Liars 2010(Sho Baraka)

Viungo vya nje

hariri

Angalia Pia

hariri

116 Clique

Marejeo

hariri
  1. Don't Waste Your Life Tour homepage
  2. Tedashii Kingdom People Review Archived 1 Machi 2010 at the Wayback Machine.
  3. Lecrae After The Music Stops Review Archived 14 Agosti 2009 at the Wayback Machine.
  4. 116 Clique 13 letters Review Archived 9 Februari 2009 at the Wayback Machine.
  5. Lecrae Rebel Review Archived 3 Septemba 2009 at the Wayback Machine.
  6. Sho Baraka Review Archived 9 Februari 2009 at the Wayback Machine.
  7. Trip Lee 20/20 Review Archived 12 Juni 2008 at the Wayback Machine.
  8. Lecrae Rebel Review Archived 15 Januari 2010 at the Wayback Machine.