Reiko Aylesworth
Reiko Aylesworth (alizaliwa Evanston, Illinois, 9 Desemba 1972)[1] ni mwigizaji wa filamu na tamthilia kutoka Marekani.
Reiko Aylesworth | |
---|---|
Amezaliwa | Reiko Aylesworth 9 Desemba 1972 Evanston, Illinois, Marekani |
Miaka ya kazi | 1993–Hadi leo |
Anafahamika zaidi kwa kazi zake za mfululizo wa televisheni maarufu kama 24. Katika 24, alicheza kama Michelle Dessler.
Filamu alizoigiza
haririMwaka | Jiana la Filamu | Jina Aliotumia |
---|---|---|
1996 | Childhood's End | Laurie Cannon |
1998 | You've Got Mail | Thanksgiving Guest |
1999 | Random Hearts | Mary Claire Clark |
Man on the Moon | Mimi | |
2000 | No Deposit, No Return | Sue |
2005 | Shooting Vegetarians | Daisy |
Crazylove | Letty Mayer | |
2007 | The Killing Floor | Audrey Levine |
Mr. Brooks | Sheila | |
Aliens vs. Predator: Requiem | Kelly O'Brien | |
2008 | The Understudy | Chief Kinsky |
The Assistants | Cassie Levine | |
2012 | Buzzkill | Sara |
Bad Parents | Laurie | |
2017 | Oh Lucy! | Kei |
2019 | Rapid Eye Movement | Charlene Johnson |
2020 | Dark Harbor | Regina Newhall |
Marejeo
hariri- ↑ "Carlos Bernard: Biography". TV Guide.
born in the same [Evanston] hospital as Reiko Aylesworth
{{cite web}}
: Italic or bold markup not allowed in:|publisher=
(help)
Viungo vya nje
hariri- Reiko Aylesworth at the Internet Movie Database
- Reiko Aylesworth katika All Movie Guide
- BBC Drama Faces - Reiko Aylesworth
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Reiko Aylesworth kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |