24 (mfululizo wa TV)

24 ni kipindi kilichoshinda Tuzo ya Emmy na Golden Globe kikiwa kama kipindi bora cha mfululizo wa televisheni cha Kimarekani. Kipindi hurushwa na televisheni ya Fox Network ya nchini Marekani na kuonyeshwa pia dunia nzima. Kipindi kilianza kuja kwenye TV mnamo tar. 6 Novemba 2001, ikianza na vipengele kumi na tatu tu. Misimu yote sita ya mwanzo ilikuwa ikifanya kazi katika kitengo chao kuzuia ugaida cha Los Angeles, Counter Terrorist Unit (CTU).

24

logo ya 24
Aina Mapambano, Maigizo, Kutisha
Nyota Kiefer Sutherland
Mary Lynn Rajskub
Janeane Garofalo
Cherry Jones
Carlos Bernard
James Morrison
Annie Wersching
Colm Feore
Bob Gunton
Rhys Coiro
Jeffrey Nordling
Nchi inayotoka Marekani
Lugha Kiingereza
Ina misimu 7
Ina sehemu 168
Utayarishaji
Sehemu 168
Muda makadirio. dk. 43.
Urushaji wa matangazo
Muundo wa picha NTSC 480i (SDTV)
PAL 576i (SDTV)
720p (HDTV) FOX HD
1080i (HDTV) SKY HD
Inarushwa na 6 Novemba 2001
Viungo vya nje
Profaili ya IMDb
Muhtasari wa TV.com

24 inaonyesha muda halisi, kila msimu unaonyesha kipindi cha msaa 24 ya maisha ya Jack Bauer, ambaye anafanya kazi za kiserikali dhidi ya vitisho vya kigaidi vinavyotokea nchini mwao. Bauer mara kadhaa huwa mapambanoni kwa ajili ya Kitengo cha Kuzuia Ugaidi ambao hufanya kazi ya kujaribu kuzuia ugadi katika taifa. Kipindi pia huonyesha matendo ya makachero wengine. Misimu sita ya mwanzo yote ilikuwa ikifanyika mjini Los Angeles na sehemu za karibuni  — ambazo zote ni za kizushi  — mjini California, ingawa kuna baadhi ya sehemu zingine zilikuwa zikitumika vilevile. Msimui wa saba pekee ndiyo ulifanyanyika mjini Washington, D.C..[1] Msimu wa nane utakuwa New York City, na CTU inarudishwa tena, lakini itakuwa CTU New York.[2]

Washiriki

hariri

Marejeo

hariri
  1. "IGN: 24: The Dead Rise". au.tv.ign.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-08-23. Iliwekwa mnamo 2008-04-23.
  2. EW (2009-04-14). "24 goes to New York". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-04-20. Iliwekwa mnamo 2009-04-20.

Viungo vya Nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu 24 (mfululizo wa TV) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.