Remy Siemsen
mchezaji wa mpira wa miguu
Remy Siemsen (alizaliwa 10 Novemba 1999)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Australia ambaye anacheza kama kiungo wa klabu ya Leicester City inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake (WSL) na timu ya taifa ya Australia.
Marejeo
hariri- ↑ "AFCS". stats.the-afc.com. Iliwekwa mnamo 2024-04-27.
- ↑ https://www.sydneyfc.com/player/remy-siemsen
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Remy Siemsen kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |