Rethabile Khumalo

Mwanamuziki wa Afrika Kusini

Rethabile Nomalanga Khumalo (alizaliwa Septemba 6, 1996 ), ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Afrika Kusini anafahamika kwa jina la Rethabile , alipata umaarufu baada ya kushirikishwa kwenye wimbo wa " Umlilo " pamoja na DJ Zinhle . [1]

Maisha ya awali

hariri

Rethabile Khumalo alizaliwa Septemba 6, 1996 na mama yake ni Winnie Khumalo pia ni mwimbaji wa Afrika Kusini. [1]

Mnamo 2012, Rethabile alifanya majaribio kwenye Idols South_Africa dols South Africa akiwa na umri wa miaka 16 na akaondolewa. [2] Mnamo 2018, alitia saini mkataba wa rekodi lebo ya Afrotaiment, na akatoa wimbo wake wa "Nomathemba" mnamo Septemba 2018. [3] Mnamo Agosti 2019, alishirikishwa kwenye wimbo wa DJ Zinhle " Umlilo ", baada ya ushirikiano mzuri na Zinhle, [4] alitoa wimbo wake wa "Ntyilo Ntyilo" aliomshirikisha DJ Master KG wa Afrika Kusini. Wimbo huu uliidhinishwa kuwa platinamu na Recording Industry of South Africa . [5] "Ntyilo Ntyilo" ulishinda kama wimbo uliopigwa kura Zaidi katika tuzo za Mzansi Kwaito and House Music Awards. [6]

Mnamo Septemba 2020, albamu yake ya kwanza Like Mother, Like Daughter ilitolewa. [7]

Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Kekana, Chrizelda (2020-08-02). "Rethabile Khumalo: 'I've watched my mother survive this industry, I will too'". Sowetan LIVE. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.
  2. "Winnie Khumalo's daughter rocks Idols audition | News24". News24. Aprili 10, 2012. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "WINNIE KHUMALO'S DAUGHTER SIGNS WITH DJ TIRA". Daily SUN. 2018-09-12. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.
  4. Thakurdin, Karishma (2019-07-20). "WATCH | DJ Zinhle & Rethabile Khumalo are cooking up fire in studio". Sowetan LIVE. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.
  5. Bukola (Agosti 13, 2021). "Rethabile Khumalo's 'Ntyilo Ntyilo' certified platinum | Fakaza News". Fakaza News. Iliwekwa mnamo Desemba 10, 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. Shumba, Ano (2021-12-02). "Mzansi Kwaito and House Music Awards 2021: All the winners | Music In Africa". Music In Africa. Iliwekwa mnamo 2021-12-10.
  7. Sekudu, Bonolo (2020-09-15). ""Rethabile Khumalo on her new album, working with Master KG and second chances | Drum". Drum. Iliwekwa mnamo 2021-12-01.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rethabile Khumalo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.