Reynelda Muse

Mtangazaji wa habari wa Marekani

Reynelda Muse (alizaliwa 1946) ni mwandishi wa habari. Mnamo mwaka 1969 alikuwa mwanamke wa kwanza Mmarekani mweusi kuendesha kipindi cha habari Colorado, kushirikiana kutangaza habari katika KOA-TV (later renamed KCNC-TV) ndani ya Denver.Mnamo mwaka 1980 alikuwa ni miongoni mwa kundi la waandishi katika kituo cha CNN.

Tamasha la Sanaa la Cherry Creek.

Ni mshindi wa tuzo nyingi ikiwa ni pamoja na Emmy Award, Elevision Scholarship ya Uandishi wa Habari, ambayo kila mwaka inapewa mwanafunzi wa Kiafrika wa Amerika anayehusika katika uandishi wa habari wa runinga, ilianzishwa kwa heshima yake na Chama cha Waandishi wa Habari Weusi wa Colorado.

Maisha ya awali na elimu hariri

Alizaliwa Reynelda Ware huko Ohio, binti wa Arthur Allan Ware, mwenye asili ya Pittsburgh, na Evelyn Cook. Ana dada mmoja.[1] Alihudhuria Chuo Kikuu cha Jimbo la Ohio, na kuhitimu shahada ya awali ya Kiingereza mnamo 1968.[2]


Marejeo hariri

  1. "Arthur Allan Ware Obituary, 1996". Rocky Mountain News. 10 October 1996. Iliwekwa mnamo 1 February 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  2. "Reynalda Muse – 1997 Inductee". Heartland Chapter of NATAS. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-01. Iliwekwa mnamo 1 February 2016.  More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); Check date values in: |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Reynelda Muse kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.