Richard Alan Enslen

Richard Alan Enslen(Mai 28, 1931 – Februari 17, 2015) alikuwa hakimu wa  Marekani wa mahakama ya wilaya ya magharibi ya Michigan, mgawanyiko wa kusini, na baraza katika Kalamazoo, Michigan.

Amezaliwa Kalamazoo, Michigan, Enslen akaenda chuo cha Kalamazoo na kuhudumu katika jeshi la anga la Marekani, kipindi cha vita ya Korea, kuanzia 1951 mpaka 1954, na kuhitimu shule ya sheria ya chuo kikuu cha Wayne na shahada ya sheria 1958. Mwaka 1985, Enslen alipata shahada ya uzamili ya sheria kwenye shule ya sheria chuo kikuu cha Virginia. Alifanya kazi kama afisa mwaminifu msaidizi na benki ya kwanza ya kitaifa na kampuni ya uaminifu huko Kalamazoo 1958. Alihudumu Marekani kama askari wa Amani huko Costa Rica kwanzia 1965 mpaka 1968. Alihudumu kama hakimu wa mahakama ya manispaa huko Kalamazoo kwanzia 1968 mpaka 1969, na kama hakimu wa mahakama ya wilaya ya Michigan kuanzia 1969 mpaka 1970. Wakati si katika huduma za umma, alidumisha sheria ya kibinafsi huko Kalamazoo.<ref>'Great American Judges; An Encyclopedia,' volume 1, John R. Vile, ABC-CLIO: 2003, Biographical Sketch of Richard Alan Enslen, pg. 239-246

Marejeo hariri