Rino Benedetti (Ponte Buggianese, 18 Novemba 192814 Juni 2002) alikuwa mchezaji wa baiskeli wa kitaalamu wa barabarani kutoka Italia, ambaye alishinda hatua katika mashindano yote makubwa matatu ya baiskeli (Grand Tours).

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rino Benedetti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.