Rio (filamu ya 2011)
Rio ni filamu ya katuni iliyotolewa mwaka wa 2011. Filamu ilitayarishwa na Blue Sky Studios, na kutolewa kwenye makumbi tarehe 22 Machi 2011 na 20th Century Fox.
Katika filamu hiyo walioingiza sauti ni:
- Jesse Eisenberg kama Blu
- Anne Hathaway kama Jewel
- will.i.am kama Pedro
- Jamie Foxx kama Nico
- George Lopez kama Rafael
- Tracy Morgan kama Luiz
- Jemaine Clement kama Nigel
- Leslie Mann kama Linda Gunderson
- Sofia Scarpa Saldanha kama Young Linda Gunderson
- Rodrigo Santoro kama Dr. Túlio Monteiro
- Jake T. Austin kama Fernando
- Carlos Ponce kama Marcel
- Davi Vieira kama Armando
- Jeffrey Garcia kama Tipa
- Jane Lynch kama Alice
- Wanda Sykes kama Chloe
- Bebel Gilberto kama Eva
- Bernardo de Paula kama Kipo
- Francisco Ramos kama Mauro
Viungo vya nje
hariri- Rio at the Internet Movie Database
- Rio at the Big Cartoon DataBase
- (Kiingereza) Rio katika Allmovie
- Rio at Rotten Tomatoes
- Rio katika Metacritic
- Rio katika Sanduku la Ofisi la Mojo
Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Rio (filamu ya 2011) kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |