Rio Ferdinand

Mchezaji mpira wa Uingereza

Rio Ferdinand (alizaliwa 7 Novemba 1978) ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu wa timu ya taifa ya Uingereza na klabu ya Manchester United anayecheza katika nafasi ya beki wa kati.

Rio Ferdinand

Alianza kuichezea Manchester United kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2014.

Alipata mafanikio mengi ikiwemo kubeba taji la ligi kuu la nchini Uingereza na kombe la UEFA.

Mwaka 2014 alihamia klabu ya QPR ya nchini Uingereza.Mwaka 2015 alistaafu soka.


Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rio Ferdinand kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.