Riola Xhemaili (alizaliwa Machi 5, 2003) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Uswisi ambaye anacheza kama kiungo wa timu ya wanawake ya SC Freiburg na timu ya taifa ya Uswisi.[1]

Xhemaili (2022)

Maisha yake

hariri

Xhemaili ana dada mkubwa na pacha yake Rion. Baba yake na wajomba zake wawili walikuwa pia wachezaji mpira. Kuanzia chini ya miaka 11 hadi chini ya miaka 15 alicheza mpira wa miguu nafasi ya kiungo pamoja na Rion kwenye klabu ya Solothurn .[2]

Marejeo

hariri
  1. "Riola Xhemaili". Playmaker Stats. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Riola Xhemaili: Den Traum Stets Vor Augen". Football.ch. 7 Septemba 2020. Iliwekwa mnamo 7 Machi 2021.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Riola Xhemaili kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.